Saturday, November 27, 2021

Adolf hitler essays

Adolf hitler essays

adolf hitler essays

Environment and pollution essay in hindi, your last trip essay conclusion hitler essay Adolf. Informative essays list essay prompts uchicago world wide web essay topics, how to write a thesis statement for a thematic essay childhood essay words? Best essay topics for university students essay of pen tips on writing a good argumentative essay Adolf Hitler was born on 20th April , in the small Austrian town of Braunau. When the World War I began in , Hitler volunteered to join the German army. He was given a medal for bravery but he never had the chance to climb any rank. In , Hitler joined the National Socialist German Workers Party, which was known as the Nazis Apr 16,  · Adolf Hitler is considered to be perhaps the most villainous man of the twentieth century. What many often forget, however, is that Hitler was not only a coldblooded tyrant but that also a brilliant persuader of men. He personally oversaw the deaths of millions of people, including the near extermination of the Jewish race while maintaining the full support of the German people



Adolf Hitler – Wikipedia tiếng Việt



Adolf Hitler BraunauAustria20 Aprili ; BerlinUjerumani30 Aprili alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka hadi kifo chake, adolf hitler essays. Alihutubia dharau na chuki ya kimbari dhidi ya watu wote wasio Wagermanik na hasa dhidi ya Wayahudi.


Alisababisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia na mateso ya watu milioni kadhaa. Akitangaza shabaha ya Ujerumani Mkubwa alisababisha kushindwa na kugawiwa kwa taifa lake pamoja na kupotewa na maeneo makubwa, hasa upande wa mashariki. Alizaliwa nchini Austria mwaka Wazazi wake walikuwa mtumishi wa forodha ya Austria Alois Hitler na mama yake Klara aliyekuwa mke wa tatu wa Alois, adolf hitler essays. Adolf alikuwa na ndugu watano lakini kati yao ni dada yake Paula pekee aliyeishi kufikia umri wa mtu mzimawengine wote walikufa mapema.


Alikuwa pia na ndugu wawili kutoka ndoa ya mke wa pili wa baba na hao waliitwa Alois mdogo na Adolf hitler essays waliokaa katika familia ya Alois mzee baada ya kifo cha mama. Kutokana na kuhamishwa kwa baba mara kwa mara Adolf alisoma kwenye shule za msingi tofauti kati ya hadi Kuanzia mwaka alisoma kwenye shule ya sekondari mjini Linz lakini hakufaulu, alipaswa kurudia madarasa mawili. Hakupenda somo la dinilakini alivutiwa na historia na jiografia. Baba alimpiga mara nyingi katika kipindi kile akikasirika juu ya kutofaulu shuleni.


Baada ya kifo cha baba Alois mwaka mamake alimhamisha kwenda shule nyingine mjini lakini alishindwa hapa pia, akarudi nyumbani kwa mama bila ya kumaliza masomo yake. Alipokaa Linz Adolf alifahamika na mafundisho ya kiongozi wa chama cha "Alldeutsch" [1] na hapa alianza kusikia habari za chuki dhidi ya Wayahudi na dharau dhidi ya mataifa ya Waslavi ya Ulaya. Tangu Hitler alijisikia kuwa msanii alipeleleza nafasi za kusoma uchoraji. Mwaka aliomba kupokewa katika chuo cha sanaa mjini Vienna, lakini alishindwa.


Akarudi nyumbani baada ya kusikia mamake alikuwa mgonjwa wa kansa. Aliangalia nyumba hadi kifo cha mama kwenye Desemba Mama alitibiwa na daktari Eduard Bloch aliyekuwa Myahudi; Adolf alimshukuru sana kwa juhudi zake na baadaye alimlinda Bloch dhidi ya mateso yaliyoandaliwa kwa Wayahudi katika miaka ya baada ya Hitler kuwa mtawala wa Ujerumani na tangu wa Austria pia.


Tangu Januari alitumia urithi wa mama pamoja na pensheni ya mjane kwa kuhamia Vienna alipokaa hadi Alijaribu tena kupata nafasi kwenye chuo cha sanaa cha Vienna akashindwa tena, adolf hitler essays.


Mtu aliyeishi pamoja naye katika chumba kimoja alisema wakati ule Hitler alivutiwa zaidi na opera za Richard Wagner kuliko siasa. Tangu mwisho wa alihama mara kwa mara sehemu alipokaa akitafuta kupanga vyumba kwa bei nafuu zaidi; inaonekana matatizo ya pesa yaliongezeka. Miaka - alipaswa kuishi katika bweni la wanaume wasio na nyumba [2]. Tangu Hitler alikuwa na mapato madogo kwa njia ya kunakili picha alizouza kupitia watu walioishi pamoja naye katika bweni.


Wengine waliouza picha kwa niaba yake walikuwa Wayahudi lakini, tofauti na daktari wa mamake, hakuwapa usaidizi wowote baadaye: waliteswa kama Wayahudi wote baada ya kuvamiwa kwa Austria Hitler alisoma mengi wakati ule na hasa maandiko yaliyotangaza ubora wa mbari ya Kigermanik na chuki dhidi ya Wayahudi. Mwaka alihamia Munich katika jimbo la BavariaUjerumani.


Alikuwa amepokea hela kidogo kutoka urithi wa babake pia alitaka kujiondoa katika wajibu wa kufanya huduma ya lazima ya kijeshi katika Austria-Hungaria. Aliendelea kunakili picha na kuziuza kwenye maduka ya sanaa. Mnamo Februari alikamatwa na polisi ya Bavaria na kupelekwa Austria lakini huko iliamuliwa hafai kwa huduma ya kijeshi akarudi Munich.


Wakati wa kukaa Munich alisoma maandiko ya Houston Stewart Chamberlain kuhusu ubaguzi wa kimbari. Kuhamia kwake Munich kulifuatwa na vita mwaka Mnamo Agostiadolf hitler essays, wakati wa mwanzo wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alijitolea kwa jeshi la Bavaria ambapo kutokana na bidii na ukakamavu wake alipanda cheo na kuwa praiveti.


Mwisho wa vita mwaka alikuwa na cheo cha koplo. Hakupewa shughuli za kupigania maadui moja kwa moja bali sehemu kubwa ya vita alihudumia kama tarishi aliyebeba habari na barua kati ya maafisa wa ngazi ya juu na hivyo mbali kiasi na eneo la mapigano. Alijeruhiwa mwaka alipopigwa na kibanzi cha kombora na tena kwenye Oktoba alipoathiriwa na gesi ya sumu iliyosababisha kipindi cha upofu.


Alikuwa hospitalini bado aliposikia habari za mapinduzi katika Ujerumani na azimio la kusimamisha vita tarehe 11 Novemba Mwezi Novemba Hitler alirudi Munich alipoendelea kuwa mwanajeshi hadi mwaka Munich iliona kipindi cha vuguvugu ya mapinduzi. Kwa muda alishiriki katika kamati zilizochaguliwa na wanajeshi na kuwawakilisha mbele ya serikali na maafisa. Munich iliona kipindi kifupi cha mapinduzi makali ambako viongozi wake walijaribu kuiga mfano wa Urusi.


Kipindi hiki kilikwisha baada ya mashambulio ya sehemu za jeshi zilizofuata amri za serikali kuu ya Berlin. Sasa maafisa wa jeshi walioshika tena amri walipambana na mielekeo ya kikomunisti na kisoshalisti kati ya askari na adolf hitler essays wa viwanda. Hapa Hitler aliteuliwa na wakuu wake adolf hitler essays propaganda dhidi ya wanamapinduzi wasoshalisti.


Alipelekwa kwa mafundisho ya kiitikadi akapewa mazoezi ya kuhutubia watu. Inaonekana ya kwamba ilikuwa katika kipindi hiki Hitler alipopokea mafundisho yaliyoimarisha itikadi ya chuki dhidi ya Wayahudi walioshtakiwa na wafuasi wa ufalme kuwa sababu ya kushindwa vitani pamoja na kuchochea mapinduzi.


Hitler alitumwa pia na wakuu wake kama mpelelezi kuhudhuria mikutano ya kisiasa adolf hitler essays. Hapa ilitokea ya kwamba kwenye Septemba alihudhuria mkutano wa chama kidogo na kichanga kilichojiita "Chama cha Wafanyakazi Wajerumani" Deutsche ArbeiterparteiDAP.


Hitler alishiriki katika majadiliano akakaribishwa kujiunga na adolf hitler essays hicho. Aliomba kibali cha mkuu wake jeshini kwa hatua hii akawa mwanachama wa 55 wa chama hiki. Aliteuliwa kuwa katibu mwenezi wa DAP na chama kilianza kupokea zawadi kutoka matajiri waliomwona Hiler kama mhubiri mwenye kipaji kikubwa aliyepinga usoshalisti na ukomunisti.


Mwezi Februari DAP ilibadilisha jina lake kuwa " Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei " Chama cha Kizalendo - Kisoshialisti cha Wafanyakazi Wajerumani kifupi NSDAP. Kwenye Aprili Hitler alitoka katika jeshi akipata riziki yake kwa njia ya kuhutubia mikutano alipolipwa. Sifa zake kama mhubiri zilijulikana kote Munich na alianza kuwasiliana pia na wanasiasa waliokuwa na mielekeo ya kufanana huko Berlin.


Mwaka hatimaye aliweza kushinda viongozi wa awali katika chama na kuwa kiongozi mkuu wa NSDAP ambao hadi wakati ule bado ilikuwa moja ya vyama vingi vidogo vilivyotangaza siasa ya kizalendo dhidi ya ukomunisti na pia dhidi ya demokrasia. Hitler alivutiwa sana na mfano wa Benito Mussolinikiongozi wa kifashisti wa Italiaaliyefaulu mwaka kupindua adolf hitler essays ya Italia kwa maandamano makubwa ya wafuasi wake kuelekea Roma. Mwaka Hitler alijaribu kumwiga Mussolini kwa kupindua serikali ya jimbo la Bavaria - kama utangulizi wa kupindua serikali ya kitaifa huko Berlin - lakini alikamatwa na kuhukumiwa kwa uasi huo kifungo cha miaka mitano, ingawa alitumikia miezi tisa tu.


Chama chake kilipigwa marufuku. Hitler akiwa kijana aliwahi kusoma vitabu vya Mwingereza Neville Chamberlain aliyedai kwamba kuna mbari mbalimbali za watu zenye tabia na thamani tofauti sana.


Akiwa gerezani aliandika kitabu kilichoitwa " Mein Kampf " "Mapambano Yangu" alimojaribu kueleza imani na siasa adolf hitler essays. Humo alieleza pia chuki dhidi ya Wayahudi na itikadi yake ya ubaguzi wa kimbari. Katika itikadi hiyo mbari ya juu ni watu wa Ulaya ya Kaskazini aliowaita " Waaria ", na wale ambao ni duni zaidi ni adolf hitler essays weusi. Vikundi vingine vimo katikati.


Lakini watu wabaya kabisa katika itikadi hiyo ni Wayahudi ambao ni wajanja wakuu upande mmoja, adolf hitler essays, lakini hawana uwezo wa kuunda kitu kwa upande mwingine. Hivyo wanajaribu kwa ujanja wao kutawala dunia kwa kuiba fikra na mafanikio ya Waaria. Baada ya kutoka gerezani alirudi katika siasa.


Aliahidi za kwamba atafuata sheria, hivyo chama cha NSDAP kiliruhusiwa tena. Hitler alisafiri kote Ujerumani akiunda matawi ya chama.


Ndani ya chama alianzisha vikosi viwili vilivyovaa sare vikifanya mazoezi kama wanamgambo na kuwa tayari kupigana na maadui wa kisiasa wakati wa maandamano, adolf hitler essays.


Kikundi cha SA "Sturmabteilung" - "Kikosi cha kushambulia" kilikuwa na watu wengi sana kikavuta hasa wanaume wasio na kazi waliovaa sare ya kahawia. Kikosi cha pili adolf hitler essays na watu wachache kikaitwa " SS " "Schutzstaffel" - "Kikosi cha ulinzi" waliovaa sare nyeusi adolf hitler essays kuwa na wajibu hasa kumlinda Hitler, adolf hitler essays.


Chama chake hakikufaulu hadiwakati uchumi wa dunia pamoja na wa Ujerumani ulipoporomoka vibaya katika Mdodoro Mkuu, adolf hitler essays. Mamilioni ya watu waliachishwa kazi na kuona njaa. Katika hali hiyo watu walianza kupigia kura vyama vyenye itikadi kali. Katika uchaguzi wa mwaka kura za NSDAP ziliongezeka kutoka 2. Serikali adolf hitler essays Ujerumani zilikuwa za vyama vingi na dhaifu. Katika hali hiyo viongozi wa Dola la Ujerumani waliamua kumwingiza Hitler katika serikali mwaka Tarehe 30 Januari Hitler akawa Chansela wa Ujerumani.


Mara moja alichukua nafasi kuwakandamiza wapinzani wake na baada ya mwaka mmoja hata wale waliomwingiza madarakani. Baada ya mwaka mmoja utawala wake ulisimama imara kabisa ilhali wapinzani wengi walikamatwa na kupelekwa katika makambi ya KZ. Hitler alifuata siasa ya kujenga uchumi na kurudisha watu kazini akibahatika kwamba uchumi wa dunia ukapaa tena.


Hitler alifuta mapatano yote ya Ujerumani yaliyoweka mipaka kwa ukubwa wa jeshi lake kuwa watutu akajenga jeshi kubwa zaidi, akaanzisha utawala wa kidikteta wa " Dola la Tatu " akipiga marufuku vyama vya upinzani. Alitesa wapinzani wote na watu wa adolf hitler essays alizochukia, hasa Wayahudi, adolf hitler essays. Chuki dhidi ya Wajerumani waliokuwa Wayahudi aliionyesha kwa sheria mbalimbali zilizokuwa kali zaidi na zaidi.


Idadi ya Wayahudi katika Ujerumani ilikuwa ndogo, takriban nusu milioni kati ya wakazi milioni Kila Mjerumani akitaka kuajiriwa na serikali au kupata nafasi ya masomo alitakiwa kuorodhesha wazazi na mababu hadi kizazi cha pili.


Kwa njia hiyo Hitler alipanga Wajerumani wote katika vikundi vya "Waaria" ambao hawana Wayahudi katika familia"Wayahudi" watu wenye asili ya Kiyahudi, hata kama wameshakuwa Wakristo tangu vizazi kadhaa au hawakufuata dini"Wayahudi nusu" kama mzazi mmoja alikuwa Myahudi, "Wayahudi robo" kama mmoja kati ya mababu na mabibi wanne alikuwa Myahudi, adolf hitler essays.


Wayahudi na Wayahudi nusu walifukuzwa katika ajira ya serikali na walikataliwa kufanya kazi mbalimbali. Sheria kuhusu "Aibu wa mbari" ilikataza ndoa kati ya "Waaria" na "Wayahudi"; "Wayahudi" waliondolewa uraia kamili. Tokeo moja la siasa hiyo lilikuwa kuondoka kwa Wayahudi wengi kidogo katika Ujerumani; baada ya mashambulizi makali na mauaji mwaka mwelekeo huo uliongezeka.


Hasa wanasayansi na wasanii wengi walihamia nchi huru, adolf hitler essays. Siasa yake katika mwaka ilisababisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia, adolf hitler essays.


Hitler alifuata mwanzoni siasa ya kukusanya Wajerumani wote wa Ulaya katika Dola la Ujerumani. Mwaka alifaulu kuteka Austria na maeneo ya Wajerumani katika Ucheki bila upingamizi wa kimataifa. Lakini aliposhambulia Poland tarehe 1 Septemba tendo hili lilikuwa mwanzo wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kwa sababu Uingereza na Ufaransa walisimama imara kwa mikataba ya kusaidiana na Poland.


Wakati wa vita Hitler alichukua mwenyewe uongozi mkuu wa jeshi. Mwanzoni alifaulu hata dhidi ya ushauri ya majenerali wake, hasa wakati wa vita dhidi ya Poland na Ufaransa. Lakini maazimio yake ya ya kushambulia Urusi na kutangaza hali ya vita dhidi ya Marekani yalikuwa mwanzo wa mwisho wake.




Write an essay on Adolf Hitler in english - Essay writing on Adolf Hitler in english

, time: 4:03





Adolf hitler conclusion essay


adolf hitler essays

The political views of Adolf Hitler have presented historians and biographers with some difficulty. His writings and methods were often adapted to need and circumstance, although there were some steady themes, including antisemitism, anti-communism, anti-parliamentarianism, German Lebensraum ("living space"), belief in the superiority of an "Aryan race" and an extreme form of German nationalism Adolf Hitler lahir tanggal 20 April di Gasthof zum Pommer, sebuah penginapan di Salzburger Vorstadt 15, Braunau am Inn, Austria-Hongaria. Ia adalah anak keempat dari enam bersaudara dari pasangan Alois Hitler dan Klara Pölzl (–). Abang dan kakak Hitler – Gustav, Ida, dan Otto – meninggal saat masih bayi. Saat Hitler berusia tiga tahun, keluarga mereka pindah ke Passau, Jerman Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili ; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili ) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka hadi kifo chake.. Alihutubia dharau na chuki ya kimbari dhidi ya watu wote wasio Wagermanik na hasa dhidi ya blogger.comabisha Vita Kuu ya Pili ya Dunia na mateso ya watu milioni kadhaa. Akitangaza shabaha ya Ujerumani Mkubwa alisababisha kushindwa na

No comments:

Post a Comment